Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2016/2017 iliendelea tena kwa Simba kucheza dhidi yaMbeya City March 4 2017, Simba walilazimishwa sare ya goli 2-2, magoli yao yakifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 65 na Shiza Kichuya dakika ya 86 wakati magoli ya Mbeya Cityyalifungwa na Ditram Nchimbi dakika ya 38 na Kenny Ally dakika ya 75.
Karibu kutangaza nasi mawasiliano 0652231836
Jumamosi, 4 Machi 2017
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni