Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo March
3, 2017 imemuachia kwa dhamana Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema,
Mahakama hiyo ilimtaka mbunge huyo kuwa na wadhamini wawili na Tsh. Mil 3
lakini ikafanya marekebisho kwa kumtaka Lema kusaini bondi ya shilingi
milioni 1 ambapo alikidhi vigezo na kuachiwa huru.😍😍😍
Karibu kutangaza nasi mawasiliano 0652231836
Ijumaa, 3 Machi 2017
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni