mo dadyTV

KARIBU KUTANGAZA NASI 0652231836

kARIBU KUTANGAZA NASI 0652231836

LightBlog
KARIBU KUTANGAZA NASI 0652231836

Karibu kutangaza nasi mawasiliano 0652231836

Ijumaa, 3 Machi 2017

Magesa ampa tano Mh lema asema Tanzania ya viwanda kufikiwa malengo ni ndoto

kada Nguli wa chama cha demoklasia na maendeleo (CHADEMA) hapa nchi Kamanda magesa trump amesema haya baada ya mbunge wa arusha godfrey lema kuachiwa kwa zamana 

Suala la kuachiwa kwa Lema ni jambo la msingi kwa kila mpenda Demokrasia katika ardhi ya Tanzania. Binafsi namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwaonyesha majaji na hatimaye Kutoa tamko kwa ofisi ya DPP na kuamua kusimamia sheria pasipo kutanguliza siasa. Sasa hapo ndipo watanzania wajue kuwa katika Serikali ya awamu hii iliyojipambanua kwa kupambana na wapinzani kwa lengo la kuua Upinzani, Sera ya Tanzani ya viwanda kufikiwa malengo ni ndoto. Lijualikali Kwani naye Mwisho naomba uongozi wa Chadema sasa ujikite kumpambania mbunge wa Kilombero Mh e ni mfungwa wa kisiasa.


swali mwandishi: kwamaon yako unazani mh lema kaasilika kiasigani kwa kukaa ndani mda mrefu unazani kwa kukaa ndan lema kwa mda mrefu itamletea wogo wa kupambania haki za wananchi wake

kamanda magesa: Kwa upande mmoja suala kuathirika kwa Mh Lema liko wazi kabisa kwa kipindi chote cha zaidi ya Miezi 4 alichokaa maabusu. Kwanza Kuna suala zima la familia yake amekaa kwa kipindi chote bila ya Mapenzi ya familia yake (watoto, ndugu, mke na hata jamaa na marafiki zake), familia imekuwa katika hali ya huzuni bila uwepo wa baba. Kubwa zaidi Lema kuathirika pia kwa kushindwa KUTIMIZA mipango yake ya kimaendeleo katika jimbo lake la Arusha mjini, kutohudhuria kikao cha Bunge lililopita katika kuwakilisha wananchi walomchagua.



Ushauri wangu kwa Mh Lema, kuishi kwake mahubusu kwa kipindi chote cha Miezi 4 basi liwe Funzo kubwa kwake na azidi kusimamia kile anachokiami kwa KUZINGATIA sheria na katiba ya nchi. Na kwa kipindi hichi alichoachiwa na kurudi uraiani basi atumie muda wake vizuri na ajipange kuwatumikia wananchi walomchagua ili awaletee maendeleo na kuimarisha miundombinu na kuinua hali ya uchumi na ajira kwa wananchi wake. Zaidi ajipange pia Kwani watesi wake bado wataendelea kumtafutia visababu visivyo na maana wakiwa na lengo la kumtoa kwenye right truck ya kuwatumikia Wana Arusha.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni