Wananchi
wa Afrika Kusini wameweka video na picha katika mitandao ya kijamii,
ikimuonesha Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma, alilala katikati ya Hotuba ya
saa moja na dakika 14 iliyokuwa ikisomwa na waziri wa fedha Pravin
Gordhan, kamera zilimnasa Rais Jacob Zuma akiwa amelala,usingizi mzito.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni