Nafahamu kuna watu wangu ni wapenzi wa kufuatilia updates za wasanii wa nje ya nchi nikizungumzia mastaa kama Rihanna, Kanye West, Justin Bieber, Beyonce na wengineo wengi, pia katika list rappers bora wa Marekani uwezi kuacha kumtaja Drake ambae ameingia kwenye headline na album yake ya awali ya ‘Views’.
Good news kwa mashabiki wa Rapper Drake wakae mkao wa kula baada ya Rapper huyu kutangaza kuachia album nyingine tena ifikapo December 2016 itakayobeba jina la ‘More life’ na tayari ameshaachia nyimbo 4 katika hii album leo Oct 24 2016.
Staa huyu aliongea maneno haya akiwa anahost show ya Radio ya Apple Beats 1, OVO Sound, na haya ndio maneno aliyoyaongea..
‘Nataka
niwape mkusanyiko wa nyimbo ambazo mtazisikiliza kwenye maisha yenu
yote,kwahiyo hii playlist ya More life kama nilivyosema kwamba itatoka
December’ – Drake
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni