Ikiwa mwaka 2016 Tanzania imeandika historia ya kutoka kapa kwenye tuzo za MTV MAMA 2016 zilizotolewa 22 October 2016 kwenye ukumbi wa Ticket Pro Dome Johannesburg Afrika Kusini.
Sasa kundi la Navy Kenzo lililokuwa likiwania tuzo ya Best Group limefunguka kuhusu Tanzania kukosa tuzo hizo na kuyaongea haya>>>>Kwanza
kukosa tuzo ni kitu cha kawaida pia kuchaguliwa kuwania tuzo hizo ni
mshindi ninachowaomba mashabiki na watanzania wasikate tamaa waendelee
na jitihada za kura kupiga kwa wingi pale Tanzania inapowakilishwa na
msanii kwahiyo wasikate tamaa’
Unaweza ukabonyeza play kuwatazama Navy Kenzo wakizungumzia Tanzania kukosa tuzo za MTV MAMA 2016
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni