Jana October 27 2016 iliripotiwa taarifa
ya mwanaume mmoja kujaribu mshambulia afisa wa usalama karibu na
ubalozi wa Marekani nchini Kenya kwa kisu, kisa hicho kimefanya ubalozi
wa Marekani nchini Kenya leo October 28 2016 kutangaza kufungwa kwa muda
kwa ubalozi huo.
Mwanamume aliyejaribu kumshambulia afisa
wa usalama kwa kupigwa risasi, Imeeelezwa hakuna afisa yeyote wa
ubalozi huo aliyeathiriwa na kisa hicho.
Leo October 28 2016 Taarifa zilizotolewa kwenye tovuti ya ubalozi imesema ……..>>>Ubalozi
utafungwa October 28 2016 na huduma zote za kibalozi zimesitishwa,
lakini huduma za kibalozi za dharura kwa raia wa Marekani zitaendelea
kutolewa’
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni