Jeshi la Polisi mkoani Tanga kwa kushirikiana na kitengo cha operesheni
na mafunzo kutoka makao makuu ya jeshi hilo Dar es Salaam, limewaua
watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi walipojibizana kwa risasi.
Wakati wa tukio hilo Oktoba 18 mwaka huu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni