'Nampenda sana Profesa Muhongo, pia ni rafiki yangu,lakini kwa hili
(Makontena ya Mchanga) ameshindwa kuwajibika,namuomba
ajitafakari,ajitathimini ninamshauri pia aachie madaraka''
Rais Dk John Pombe Magufuli 24 Mei 2017 Saa 5.18 Asubuhi,Ikulu Dar Es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni