Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania leo amemteuwa kamishina saimon sirro kuwa mkuu wa jeshi la polisi (IGP)
Kabla ya uteuzi wa siro alikiwa kamanda wa kanda maarumu ya dar es salaam
Igp saimon sirro amechukua nafasi ya ernest mangu ambaye atapangiwa kazi nyingine
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni