Msichana mwenye umri wa miaka 18, ‘Mangli Munda’ alazimishwa na wazazi
wake kufunga ndoa na Mbwa huko nchini India, kufanya hivyo ilikuwa ni
imani kufukuza roho za kishetani na mikosi inayomsonga na Mbwa huyo
alitafutwa na Baba mzazi wa mrembo huyo na kufanya sherehe kubwa na
kufanya vitendo vyote vinavyofanywa na bibi harusi kwa taratibu za ndoa,
kwa mujibu wa Yahoo News, msichana huyo hakuwa na furaha kabisa na
alieleza wazi jinsi alivyochukizwa na kitendo hicho,“Sifurahii kabisa hii ndoa coz tulilazimika kutumia pesa nyingi kwa ajili ya ya hii ndoa.
Hiyo ndiyo njia pekee tunayofanya kuondoa mikosi kwa kufanya tendo jema kwa ajili ya kijiji chetu.” Amekaririwa mama yake Munda.
Hiyo ndiyo njia pekee tunayofanya kuondoa mikosi kwa kufanya tendo jema kwa ajili ya kijiji chetu.” Amekaririwa mama yake Munda.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni