Jana tar 14/05 kulikuwa na tamasha la vijana ambalo liliandaliwa na
mwenyekiti wa mtaa wa kivule Mh.Mzava tamasha hilo la hamasa kwa vijana
wafanye kazi lilihudhuliwa na wazanii mbalimbali ambao walitumbuiza
katika stage miongon mwao ni G love,mister A,,Buzzuki, na nk nahawa ni
wasanii miongoni mwao ni G love na Buzzuki wanatuelezea walivyo kiwasha
stageni na nini maon yao katika tamasha hilo
Karibu kutangaza nasi mawasiliano 0652231836
Jumatatu, 15 Mei 2017
home
Unlabelled
Video: Exclusive interview tamasha la vijana G love na Buzzuk Baada ya kukiwasha stagen
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni