.Halima Mdee na Ester Bulaya wamesimamishwa kuhudhuria vikao vyote vilivyosalia vya mkutano wa 7, pia hawatohudhuria mkutano wa 8 na wa 9 kwa utovu wa nidhamu. Watarudi kuhudhuria vikao kuanzia kwenye Bunge la Bajeti la mwaka 2018... Halima Mdee na Esta Buraya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni