Hospitali ya Muhimbili imemkamata kijana aliyejifanya Daktari na kuanza
kuhudumia watu idara ya benki ya damu hospitalini hapo.Msemaji wa
Hospitali yaTaifa Muhimbili Aminiel Eligaesha, amesema kuwa huo ni
mwendelezo wa kuwakamata vishoka ndani ya Hospitali hiyo.Picha ya Gazeti
la #Mwananchi
Karibu kutangaza nasi mawasiliano 0652231836

Jumatatu, 19 Juni 2017
.png)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni