November
29, 2016 U Heard ya Soudy Brown ndani ya XXL ya Clouds FM iko na story
kuhusu uhusiano wa kimapenzi uliokuwepo kati ya rapa Young Dee ambaye
aliwahi kuwa na uhusiano na Video Queen Tunda waliyeacha baada ya
kutoelewana kupelekana polisi.
Baada ya
kuwepo taarifa kwamba Tunda ameachwa na mwanaume anayetajwa kuwa alikuwa
akimgharamia kwa kila kitu ikiwemo kulipia nyumba, kununua magari na
starehe zote alizokuwa akizifanya kila siku, ikaja kuonekana ameanza
kuwa karibu tena na Yo
Leo Soudy
Brown amepiga stroy na Young Dee ambaye ameeleza kuwa yeye na Tunda wako
vilevile kama mwanzo hawakuwahi kugombana na ameamua kumsamehe Tunda
kwasababu itakuwa kosa kubwa endapo hatamsaheme wakati yeye pia ana
makosa makubwa zaidi ya hayo ya Tunda.
ung Dee.
“Mimi
nilikuwa na matatizo yangu mengi sana hata kufika hapa tu nimesamehewa
sana vitu vingi katika watu ambao hawakutakiwa kusamehewa ni mimi ndio
mana nimeamua kumsamehe, kwa yote ambayo Mungu amenisamehe nisiposamehe
nitakua nakosea sana” – Young Dee
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni