mo dadyTV

KARIBU KUTANGAZA NASI 0652231836

kARIBU KUTANGAZA NASI 0652231836

LightBlog
KARIBU KUTANGAZA NASI 0652231836

Karibu kutangaza nasi mawasiliano 0652231836

Jumapili, 13 Novemba 2016

Mipuyango miwili niliowai kupuyanga

1. kunasiku nilichelewa kufika skull ile kufika tu nikamkuta ticha yupo class alivyo niuliza kwanini nimechelewa sindo nikamjibu nguo zangu za shule jana usiku nilivyo fua ziliibiwa alafu mwizi leo kachelewa kuludisha daah! acha nichezee mikwaju kwakumdanganya tisha
2. kuna mdem huyo nilikuwa na mahusiano nae siunajua kikati ya mapenzi tena akabidi abadilishe jina la nikki name akaanza na jina lake mwisho dady likatamba kila mtu akawa analijua sindo tukagombana bhana akipita mtaani akiitwa jina lake tu lile la nikki name mitusi hatali hasa nani alimtuma ajipe sindo washkaji wakanambia kuwa na hule demu nimepuyanga maana sio taipu yan
gu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni