leo tulikuwa na wakali wawili wa hip hop Sir killer na Mo flavour Tz katika kipengele cha nani mkali wa michano (mkali wa flow) ambao wamepimana nguvu ya rap huu mpambano ulikuwa mkali mno mpaka sasa atuja pata mshindi sasa basi comment nani mshindi bonyeza link => kupata mpambano huo ili uweze kutoa comment yako
http://www.mediafire.com/file/7ci486hj6c628ic/Nani_mkali_wa_flow_episod_1._Sir_killer_vs_Mo_flaver.wav
http://www.mediafire.com/file/7ci486hj6c628ic/Nani_mkali_wa_flow_episod_1._Sir_killer_vs_Mo_flaver.wav
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni