Siku zote kwenye nia kuna njia pia usione vyaelewa vimeundwa leo tutamzungumzia rapper mashuhulu wa Arusha anaefahamika kama Sham shila pia ni hit wa nyimbo mbalimbali kama #nisamehe na nk rapper huyu amejizolea umaalufu mkubwa kutokana na nyimbo zake kali inasemekana alianza kufanya music wa hip hop akiwa mdogo lakin alikuja kuibuka na kufanya show yake wa kwanza nchin uganda show hiyo ilikuwa inaitwa DOADOA MUSIC FESTIVAL 2013 UGANDA. na hii ndio picha yake ktk show hiyo
tuendelee kumsapa ushilikiano wa dhati....... mchumia juani hulia kivulini
tuendelee kumsapa ushilikiano wa dhati....... mchumia juani hulia kivulini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni