Karibu kutangaza nasi mawasiliano 0652231836
Ijumaa, 28 Aprili 2017
Alhamisi, 27 Aprili 2017
Jina la music anaitwa Mika bwai ila jina lake halisia toka kwa wazazi wake ni Michael Shamba Alianza music akiwa mdogo sana pale kiwalani safari yake ya kimusic ilikuwa ndefu sana.. Alipata nafasi ya kushiliki katika shindano la the jump off michano iliokuwa ikilatibiwa na Times Fm Tz mtangazaji alikuwa Jabil Sarehe a.k.a kuvichaka au kibonge toze shindano hilo lilikwa na washiliki 300 ila kutokana na juhudi binafsi za mika bwai alifanikiwa kufika top 10 ana kuweza kuendelea mbele
Leo msanii huyu anashilik katika shindano la nani mkali wa flow toka ktk blog yetu hii ya Mo dadyTv je ataweza kutusua kama alivyo tusua Times FmTz...
mika bwai
Leo msanii huyu anashilik katika shindano la nani mkali wa flow toka ktk blog yetu hii ya Mo dadyTv je ataweza kutusua kama alivyo tusua Times FmTz...
leo tulikuwa na wakali wawili wa hip hop Sir killer na Mo flavour Tz katika kipengele cha nani mkali wa michano (mkali wa flow) ambao wamepimana nguvu ya rap huu mpambano ulikuwa mkali mno mpaka sasa atuja pata mshindi sasa basi comment nani mshindi bonyeza link => kupata mpambano huo ili uweze kutoa comment yako
http://www.mediafire.com/file/7ci486hj6c628ic/Nani_mkali_wa_flow_episod_1._Sir_killer_vs_Mo_flaver.wav
http://www.mediafire.com/file/7ci486hj6c628ic/Nani_mkali_wa_flow_episod_1._Sir_killer_vs_Mo_flaver.wav
Jumanne, 18 Aprili 2017
Jumamosi, 15 Aprili 2017
Ijumaa, 14 Aprili 2017
Jumatatu, 10 Aprili 2017
Siku zote kwenye nia kuna njia pia usione vyaelewa vimeundwa leo tutamzungumzia rapper mashuhulu wa Arusha anaefahamika kama Sham shila pia ni hit wa nyimbo mbalimbali kama #nisamehe na nk rapper huyu amejizolea umaalufu mkubwa kutokana na nyimbo zake kali inasemekana alianza kufanya music wa hip hop akiwa mdogo lakin alikuja kuibuka na kufanya show yake wa kwanza nchin uganda show hiyo ilikuwa inaitwa DOADOA MUSIC FESTIVAL 2013 UGANDA. na hii ndio picha yake ktk show hiyo
tuendelee kumsapa ushilikiano wa dhati....... mchumia juani hulia kivulini
tuendelee kumsapa ushilikiano wa dhati....... mchumia juani hulia kivulini
Jumamosi, 8 Aprili 2017
Jumatano, 5 Aprili 2017
Jumamosi, 1 Aprili 2017
Baada ya hit song ya kisingeli inayoitwa nishuke wapi ya Reall Voice leo amesema anajiandaa kuachia nyimbo nyengine mpyaaaa maneno ya real Voice hivi leo on facebook {Niwakat wakuvut subira mashabik zang kwa new song hatar sanaa yaan
Amazing song 2017>> Kwawale walio achwa nawalio acha nawanao
pendana kwa dhat hii ni spexh kwenu naamin mtanipend <<love
song>>}
Real Voice