Body ya wamata mkoa wa pwani kupitia katibu wake Chriss kyando mnano tar 07.09.2024 ilikuwa katika wilaya ya kibiti mkoan pwani kwajili ya uzinduzi wa tawi la wamata katika kata ya imai wilaya ya kibiti
Body iyo ya wamata mkoa wa pwani wakiwa na mwenyeji wao katibu wilaya ya kibiti waliongoza matukio mbali mbali ikiwemo matukio yakupanda miti katika shule ilio mpya ya wananchi
Chriss kyando,katibu wamata kibiti. Pia baadhi ya wananchi pamoja na walimu walipata bahati yakushiliki katika zoezi ilo la upandaji miti wakiungana na kiongozi uyo mkubwa wa wamata mkoa huo
Baada ya zoezi ilo la kushiliki zoezi la kijamii bodi hiyo ya mkoa wapwani ikiongozwa na katibu wake Chriss kyando ili ilekea katika kata ya imani kwajili ya uzinduzi wa tawi la imai kata ya kibiti
Katibu uyo wa mkoa wa pwani aliwahasa wana imai kuongelea mambo mazuli ambay Rais Samia ameweza kuyafanya ikiwemo miladi mikubwa ambayo raisi wa jamuuri ya muungano wa Tanzania ameweza kuyafanya mamengine mengi mazuri aliyo weza kuyafanya
Pia diwani wa kata ya imai aliweza kuhutubia hadhala iyo
Diwani IMAI WILAYA YA KIBITI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni