leo tar 18/2 ilikuwa inafanyika kumbukumbu ya kuzaliwa kwa director mohamedy dady (mo dady) iliyofanyika katika ufukwe wa coco beach
birthday hiyo ilihuzuriza na watu mbalimbali nikiwemo mm recho haidan,yugon nikki bila kuwasahau wazazi wake pia mdogo wake
Shukrani kwa wote walio huzuria ndugu jamaa na mrafiki bila kuwasahau wale watu walio muwish ktk mitandao ya kijamii tunashukulu saaaaaaaaaana
picha zilizo tumika hapo niza mwaka jana picha za happy birthday iliyo fanyika leo tutazipost kesho pa1 na nyimbo
➮➯➱➱⤉ahsanten👄👄👄👄💓👄

anaye fahamika kwa jina la raimu dady shelehe hiyo ilianza vizuri na kuisha sarama salimini ........